Yaani tofauti na ile ngoma ndani ya sikio kuna kitu gani kingine maana nilikuwa naoga maji yakaingia ndani sikioni ikabidi mle bafuni nichezeshe kichwa ile style ya wanaume mapanga shashaaa ya TMK yale maji yametoka yana moto sana utadhani humu sikioni ndani kuna water heater ya 2000w.
Hivi nini kimefanya yapate moto kiasi hicho kwa muda huo usiopungua sekunde 5 tuu.