HIVI KWA NINI MAKAMPUNI YA BIA HUWA HAYATUMI SALAMU ZA RAMBI RAMBI?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari za siku wanajamvi?
Mara nyingi sana tumesikia au kushuhudia watu kadhaa wakipata ajali na kupoteza maisha. Na ajali nyingi sana zinazotokea usiku chanzo kikubwa ni ulevi kama si usingizi. Lakini ajali zote ambazo husababishwa na kilaji na hupoteza maisha ya wateja wa vilaji. Lakini chakushangaza sijawahi kusikia kampumi yoyote ya bia ikitoa salamu za rambi rambi kutokana na kumpoteza mteja na bia yao ndio imekuwa chanzo cha kifo cha mteja huyo. Sasa je haya makampuni ya bia huwa hawana taarifa au hawawajali wateja wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…