Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Aende wakati kanyimwa card ya harusi?Hivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?
ilikuwa harusi ya Manara na sio ya SimbaHivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?
yake madera ya Yanga ni kwa ajili ya watu kama hawa. unaacha kujadili soka unajadili mambo binafsi
Wewe ndiyo unajiona Una haki ya kukejeli wengine wakati huna ustahimilivu. Wewe elimu ya MEMKWA ndiyo itakutoshaKuna kila sababu ya kurudisha elim ya UPE
😂😂😂😂 mkuu ,usiombe kukejeliwa!!! Inauma balaaa!!Wewe ndiyo unajiona Una haki ya kukejeli wengine wakati huna ustahimilivu. Wewe elimu ya MEMKWA ndiyo itakutosha
Kwani lazima yeye ahudhurie? tena kwa umuhimu upi? Kama zawadi ya Club si ilitolewa ile picha ya kuchora (black/white)!!!Hivi kuna kitu kimemsibu Mo na viongozi wa juu wa Simba kutohudhuria harusi ya Manara?kuhusu zawadi je?
Wewe si ndiyo umeanza kupiga mayowe au umeshapoteza kumbukumbu? Post # 15[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ,usiombe kukejeliwa!!! Inauma balaaa!!
Hivi unajisikiaje kumuita binadamu mwenzako Nyani? kila siku tunalaumu ubaguzi huu sio ubaguzi ?Manyani wa Utopolo mnachoweza ni hiki tuView attachment 1649422View attachment 1649424View attachment 1649425
nafahama kila kitu..sema tu mikia kichwani ni weupe sana aiseeWewe si ndiyo umeanza kupiga mayowe au umeshapoteza kumbukumbu? Post # 15
hilo ndio soka sasa analojadili we ulitaka ajadilije sokayake madera ya Yanga ni kwa ajili ya watu kama hawa. unaacha kujadili soka unajadili mambo binafsi
najua unaelewa,labda tu unataka kupata umaarufu kupitia kwanguhilo ndio soka sasa analojadili we ulitaka ajadilije soka
kwa kipi ulichonachonajua unaelewa,labda tu unataka kupata umaarufu kupitia kwangu
kwa kipi ulichonacho
watakwambia mbona hawajampost. hawa watu sijui wanatumia viungo gani kufikiriView attachment 1650080
Huyo ni CEO wa Simba Barbara Gonzalez harusini.
Akili ndogoHujui Utopolo mnatuitaje sisi Simba? Vumilia, mkianza kutukana mvumilie majibu yanayulingana au kuzidi matusi yenu. Kula limao utulize munkari,huu mchezo hauhitaji hasira dada Somoe
Hivi unajisikiaje kumuita mwenzako mkia?Hivi unajisikiaje kumuita binadamu mwenzako Nyani? kila siku tunalaumu ubaguzi huu sio ubaguzi ?
Wewe huna hata hiyo ndogo wewe ni taahiraAkili ndogo