Hivi kwa nini namba za mezani(landline) zilizopo kwenye Taasisi za Serikali huwa azipokelewi wakati wameweka wenyewe

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Taasisi nyingi za Serikali wanakuwa na namba za meza kwa jina simu za waya kama kuna tatizo lolote au mawasiliano kuweza kuwapigia.

Cha kushangaza tokea kuingia matumizi ya simu kiganja kama simu hizi za mezani zimekuwa bure au kero, yaani unaweza kupiga siku nzima wala kutopokelewa wakati zimewekwa.

wqwqwwww.jpeg
 
Umeona MBAL sana, skuiz hua nawafata direct ofisini tukamalizane kwa namna nyingine.
 
Ni dharau tuu mana mhusika wa kupokea hiyo simu anakuwepo ila ndio hvy hata asipopokea hakuna wa kuuliza kwann hupokei
 
Taasisi nyingi za Serikali wanakuwa na namba za meza kwa jina simu za waya kama kuna tatizo lolote au mawasiliano kuweza kuwapigia.

Cha kushangaza tokea kuingia matumizi ya simu kiganja kama simu hizi za mezani zimekuwa bure au kero, yaani unaweza kupiga siku nzima wala kutopokelewa wakati zimewekwa.

View attachment 3010269kama ukienda tu physically hawakupokei sembuse simu mkuu!!?
 
Back
Top Bottom