Nimejaribu kuchunguza mara nyingi nimekuja kugundua kunatatizo katika kizazi hiki cha leo,
Moja ya tatizo lililopo nikutokomaa kwa ndoa za sasa kutokana na wengi wao ndoa zao kuvunjika kabla ya umri!je tatizo linaanzia wapi??je ni kwa wanawake au kwa wanaume??au ni wanawake wameendekeza masilahi binafsi pasipo kuangalia umuhimu wakuwa na mume?
tatizo ni kwamba mwanaume na mwanamke wanachaguana then ndo wanamshirikisha Mungu, badala ya kumshirikisha Mungu katika kutafuta mme/mke mwema kwanza! Ahsante
Ndoa zinavunjika kwa sababu hakuna subra au kama wanavyo sema wengine uvumilivu...wanawake/wanaume tamaa mbele sana kwa kila kitu, mwanamke/mwanaume wanafunga ndoa bila kujua nini mana ya ndoa, hilo ndo tatizo la kwanza...yani dini ni zero.