wanawake bana..! Roho zao nyepesi sana..yani unajiua leo kesho mtu mzima juu ya kifua! yaani..
na wanaume je?
wanakaa mda gan?
kuna baba nimemwona yaan katoka makaburin kumzika mkewe afu uyooooooooooooooooooooo nyumba ndogo....
Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?
Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.
Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?

Mmh hebu analyse data zako vizuri mchango wangu ktk thread hii unatokana na uelewa wangu pamoja na experience niliyonayo tokana na kuangalia mambo yanavyokwenda. Wanawake wengi sana na vibinti ndio wanaoongoza kwa kujiua then kutendwa na wapenzi wao! Kuhusu fumanizi ni kwel wanaume twaongoza, nadhan ni kutokana na mioyo yetu ya kutotaka kukubali ukweli kwamba wake zetu waaminifu, wanaume hupenda kushuhudia, kujiaminisha wenyewe juu ya matendo ya wake/wapenz wao!
Kesi nyingi za kufumania na kujiua au kuua zinafanywa na wanaume .
Hivi ni kwanini?
Kwanini usiamini kuwa binadamu ni nyoka kwenye nyasi anauwezo wakufanya kila atakalo. Na kwahiyo uwe tayari kwakila tukio na kituko na ukubaliane na matokeo bila kujidhuru?
Kuua au kujiua faida ni yanani na kwa kifupi si solution sana sana unawaachia machungu na taabu ndugu na jamaa na watoto kama mlikuwa nao.
Saingine unajiua after 2 months mwanamke anaolewa na anasahau kabisa kama alikusababishia kifio.
Ukiona huyu partner hakufai kabisa achana naye chukua mwingine.
Wakuu tutafakali kabla ya kuchukua hatua?
Kama hujui utafanya nini utakapomfumania mwenza wako, ACHANA kabisa kumfuatilia nyendo zake - spying - ! Mimi nina uhakika mke wangu hawezi kunifumania na mimi ziwezi kumfumania - Najua wengine watakuja na Theory za "LOVE"!