Sio kwamba serikali haijali waalim, bali mchawi wa mwalimu ndani ya hili taifa letu ni mwalimu mwenyewe, Nitatoa kielelezo cha kuwepo kwa Maafisa elimu Sekondari ndani ya kila halimashauri ya Wilaya hawa jamaa ndio wame kuwa wachawi wa kwanza wa Elimu kwani wamekuwa kama miungu watu. NA SWALA LETU SISI WAALIMU KUTOJENGEWA NYUMBA NI HAKI YETU KABISA KWANI MARA ZOTE TUNAPODAI HAKI ZETU TUNATANGULIZA HAIBA MBELE HUKU TUKIWA TUNAJUA DHAHIRI YA KWAMBA SERIKALI YETU INASIKILIZA WAPIGA KELELE.
Hivyo nipende kuwashauri waalimu kuwa wawe na msimamo na wanapotangaza migomo zisiwe ni kelele za mbu nje net na waige mfano wa waalimu majirani zao hapo Kenya kwenye kudai haki, hapo ndipo heshima ya mwalimu itaonekana kwenye hili taifa