Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 896
Wana JF...
Nimejaribu kufanya tafiti kidogo kwenye jambo hili kupitia kwa jamaa zangu wa karibu..
Katika tafiti zangu sehemu kubwa za nyumba zetu nimeona kina mama ndio wenye sauti kubwa ndani ya nyumba ya kimaamuzi..
Wanaume wengi tumekua hatuna sauti ndani ya nyumba zetu.
Hata vitu vidogo kuamua utamkuta mwanaume anasema mpaka wife aje ndio takuambia..
Hata watoto siku hizi matatizo yao wanawambia mama zao, huku wakiwacha baba zao..
Hivi kwa nini imekuwa hivyo kina mama ndio wanakuwa na sauti kuzidi kina baba..
Tujadili wakuu tupate kujua..
Hujapita nyumbani kwangu bwana.....
hapo nakuunga mkono...sasa anataka mpaka penseli na nguo za watoto ahusishwe baba miakwamia. baba anacheza na fatique nzitonzito bwana siyo issue za kilo moja ya sukari nyumbani...Hapana sio kuongozwa na kina mama; tena mwenyewe umesema vitu vidogo vidogo; ni kweli dialy run na vitu vidogo vidogo ndani ya nyumba ni jukumu la mama; huwezi kuja kwangu kuazima pasi nikupatie ...............utamsubiri wife ama ?
nakuunga mkono kwa 100%Ndio usawa wanaoulilia wakina mama. Msipo kuwa makini baadae hali itakuwa mbaya zaidi.
Mimi upuuzi huo sina kabisa, hata vitabu vya dini vimenipa mimi mwanaume madaraka ya kuongoza famili, sasa hii democracy ya siku hizi ndani ya familia imewafanya wanaume kuwa kama mabinti.
Plz wanaume, Tafakari na chukua hatua, Bora lawama kuliko fedheha.
Hapana sio kuongozwa na kina mama; tena mwenyewe umesema vitu vidogo vidogo; ni kweli dialy run na vitu vidogo vidogo ndani ya nyumba ni jukumu la mama; huwezi kuja kwangu kuazima pasi nikupatie ...............utamsubiri wife ama ?
mwanamke sawa na waziri mkuu
yeye ndie mtendaji..
wewe mwanaume ni sawa na mfalme
sio lazima uwe bize na kila kitu
acha waziri mkuu afanye kazi yake
sishangai sana maana mtoa mada ni chatu dume! halafu mchangiaji wewe ni mkimbizwa mbio (bila shaka wakimbizwa na mkeo unaojitia kumdharau hapa) tena akikujua umelala nje!! hivi kumbe mke kuwa na sauti ndani ya nyumba ni 'crime'?? sikujua kama hilo linaweza kuwekewa mkakati na wanaume eti kabla hali haijawa 'mbaya zaidi'. vitabu vya dini enzi hizoooo vilikuwa vinamzungumzia 'mwanamume' aliekuwa anajua vema majukumu ya kuwa mume ndani ya nyumba. ck hz wanaume wengi wamepoteza hizo 'sauti' kwa sababu wanawake walio wengi ndio wanaotunza familia, sasa cjui kama mume ni suruali au majukumu. na kama ni suruali basi hata sie wanawake tunavaa!! sauti mnayoilalamikia hapa ni 'nguvu ya uchumi' kama huna kitu mfukoni unategemea umpazie nani sauti wakati pesa ni zake! nani atakubali akatafute pesa halafu wewe mume uje uzipigie kelele??? jijenge kiuchumi utaheshimika na kila mtu tena hata wanaume wenzako. usitake yale mambo ya enzi za mawe eti tu kwa kuwa you carry those suspicious bags between 2 legs and rifle without even bullets basi uwe na kibezi... that was looooong looooooong time ago!!!Ndio usawa wanaoulilia wakina mama. Msipo kuwa makini baadae hali itakuwa mbaya zaidi.
Mimi upuuzi huo sina kabisa, hata vitabu vya dini vimenipa mimi mwanaume madaraka ya kuongoza famili, sasa hii democracy ya siku hizi ndani ya familia imewafanya wanaume kuwa kama mabinti.
Plz wanaume, Tafakari na chukua hatua, Bora lawama kuliko fedheha.