Nilishawahi kuna na demu, mwanzo sikujua kuwa ana JIBABA. lile Jibaba bana lilikuwa ni lihasibu wizara ya Maji enzi hizo. Lile Jibaba lilishaacha mke wake wa ndoa, halafu likavuta mwanamke mwingine akazaa naye watoto wawili, halafu wakati huo huo likawa na huyo demu alikuwa akisoma magogoni pale enzi hizo. mimi baada ya kugundua yule demu sasa akawa ananiambia ukweli kwamba yule jibaba ni kwa ajili ya pesa tu, na kweli yule jamaa alikuwa anahonga bwana, wakati ule wafanyakazi wa serikali mishahara haipitii benki wanapewa kwenye bahasha. jamaa alikuwa anakwenda beni anachukua hata m300 kwa ajili ya mishahara anaweka kwenye bahasha ya kila mfanyakazi kiasi cha mshahara wake, sasa kila bahasha lazima akate hapo alfu mbili tatu, mwisho wa siku anaibuka karibu na milioni mbili tatu wanagawana pale ofisi ya uhasibu, yeye akitoka hapo ni kwa yule demu anampiga na kilo tano , wanaenda baa wanakunywaaaaaaaa mpaka asubuhi. Nilipogundua hayo nikaamwambia yule demu mie siwezi endelea na wewe, akawa ananibembeleza kwa pesa za yule jamaa nilizitafuna halafu nikalala mbele. Yule Jibaba ansikia kaoa mwanamke mwingine sasa hivi na pesa imekata nasikia ni shida kw kwenda mbele tuuuuuuu pesa yote alihonga