Hivi kwa nini staff wa kiume wanaofanyia kazi bank wanashobokewa sana na totoz hapa mjini?

Hivi kwa nini staff wa kiume wanaofanyia kazi bank wanashobokewa sana na totoz hapa mjini?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana uhakika wa kula maku walau moja.hivi ni nin kinawavutia hawa wanawake kwa hawa washkaji akati mwonekano wao wa kawaida tu?
 
Do not be stupid...... hao wanawake watakua malimbukeni au labda hao marafiki zako ni ma handsome ndio kivutio kwa hao wadada.......huwa nashangaa mwanamke kumshobokea mwanaume kisa eti anafanya kazi bank kwan zile hela zake kwanza wanaume wa bank wabahil sanaa sjui kwasababu wanalipwa mshahara mdogo
 
Do not be stupid...... hao wanawake watakua malimbukeni au labda hao marafiki zako ni ma handsome ndio kivutio kwa hao wadada.......huwa nashangaa mwanamke kumshobokea mwanaume kisa eti anafanya kazi bank kwa zile hela zake kwanza wanaume wa bank wabahil sanaa sjui kwasababu wanalipwa mshahara mdogo

Umepotelea wap?
 
kwa sababu wanahonga kidogo...ila sijawahi vutiwa na mtu wa bank wengi wanamadeni balaaa
 
sio kila king'aacho ni dhahabu....basi wenyewe wanaokula k za wenzao wanaona rahaaaaa wenyewe, wala haipendezi kabisa
 
Muulize mume wa kajala maana alikuwa NMB ma sasa yuko wapi
 
Kuna baadhi ya kazi huwa zina upepo mzuri, kazi zingine ni kama utangazaji (both radio & TV stations). Ukifanya kazi hizo usishobokewe basi nenda mligotini kama sio kwa babu.
 
Back
Top Bottom