Do not be stupid...... hao wanawake watakua malimbukeni au labda hao marafiki zako ni ma handsome ndio kivutio kwa hao wadada.......huwa nashangaa mwanamke kumshobokea mwanaume kisa eti anafanya kazi bank kwa zile hela zake kwanza wanaume wa bank wabahil sanaa sjui kwasababu wanalipwa mshahara mdogo
Umepotelea wap?
kwa sababu wanahonga kidogo...ila sijawahi vutiwa na mtu wa bank wengi wanamadeni balaaa
i am me me u am ukwa apo tuu, tumeshakudefine who are you.
mafuriko hata huko kwa watakatifu huwa yapo mkuu.
kwa sababu wanahonga kidogo...ila sijawahi vutiwa na mtu wa bank wengi wanamadeni balaaa
kwa sababu wanahonga kidogo...ila sijawahi vutiwa na mtu wa bank wengi wanamadeni balaaa
sio kila king'aacho ni dhahabu....basi wenyewe wanaokula k za wenzao wanaona rahaaaaa wenyewe, wala haipendezi kabisa