Hivi kwa nini tunaukwepa huu ukweli?

Hivi kwa nini tunaukwepa huu ukweli?

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Posts
7,491
Reaction score
8,304
Jamani vijana wengi wanavuta bange balaa.
Kwani usipovuta hukui? Halafu baadae wanajifanya eti ni kharam,sijui huwa wanaacha?
Serikali iko wapi maana vijiwe vinajulikana.
 
Mtoa Mada acha unafiki na roho mbaya mm ni mtumiaji WA mmea mwaka wa 10 huu haijaathiri ukuaji wangu wala akili yangu ni wivu tu unawasumbua


Ningeomba tu serikali isikie kilio chetu WA legalized huu mmea mbona gongo imeruhusiwa
 
Kiukweli vijana wengi wamekuwa majiko. Apa chuoni asilimia kubwa wanapuliza.sijui ni hili baridi la mbeya
 
Mimi nikiwa na best angu l
Screenshot_20190522-035835.jpeg
 
Back
Top Bottom