he he he he he I reserve my comment....Mbona tigo haianzi na K?
vp mkuu wapi iyo?he he he he he I reserve my comment....
huyu ni mwongo, mbona vagina haianzii na kNahisi kuna k nyingine umeisahau
ipi iyo mkuu?Nahisi kuna k nyingine umeisahau
Mbona tigo haianzi na K?
Mkuu hebu itafsiri tuone itakuwaje....1,2,3 KU...huyu ni mwongo, mbona vagina haianzii na k
mkuu mbona unatokwa na povu jingi?Sasa unatupa pole ya nini? We mbona unajishtukia na 'midhambi' yako weweeee?
Ngoja niikumbuke ntakwambiaipi iyo mkuu?
mkuu hii KULALA yanii ni nouma akina Samsoni daudi kwenye ze baibo walishindwa kuvumilia kabisa licha ya miguvu yao ya ajab lakini wakanywea na kuwa wadogo kama piriton na kumbuka walikuwa wanaongea na Mungu uso kwa uso kupitia manabii watakatifu. Sasa je sisi kizazi cha ngeseki eti manabii wetu ni akina gwajima na mzee wa upako si ndio hopeless kabisa mbele ya hii makituSasa unatupa pole ya nini? We mbona unajishtukia na 'midhambi' yako weweeee?
wee usiitamke bhana Mods siku hiz hawana uvumilivMkuu hebu itafsiri tuone itakuwaje....1,2,3 KU...
Sema we nae umooo, ulijuaje lakini