Hivi kwa nini wanaume wako tayari kuwa na wanawake wenye mahusiano mengine tofauti na wanawake walivyo?

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Mapenzi ni hasara tupu...

Za mida...

Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display.....

But namaswali machache...
Ivi kwa nini wanaume wengi huwa tuko tiari kuwa spare tier sana

Nikimaanisha kuwa vijana wengi tuko tiyari kuwa na mke wa mtu au mpenzi wa mtu kuliko wao walivyo tiyari kuwa na mme wa mtu?

Maana niko na mpwa flani hapa anakomaa na manzi ya msela mno na anajua kua ni mchumba wa mtu!?

Je wadada bado mnapinga amjatoka ubavuni mwa wajuba?
 
akipata ndo utajua yuko tayar ama hapana, atazingua hadi aliye kuwa anafatwa haamini ndo huyu
 
Actually kinyume chake ndo kweli. Wanawake (single) wenye mahusiano na waume za watu ni wengi zaidi kuliko wanaume single wenye mahusiano na wanawake wasio single
 
Mapenzi ni hasara tupu...

Za mida...

Nimekua niko namawazo sana hii siku sijui labda ni kwa sababu sijaona sms ya nimpendae ikiji display.....

But namaswali machache...
Ivi kwa nini wanaume wengi huwa tuko tiari kuwa spare tier sana

Nikimaanisha kuwa vijana wengi tuko tiyari kuwa na mke wa mtu au mpenzi wa mtu kuliko wao walivyo tiyari kuwa na mme wa mtu?

Maana niko na mpwa flani hapa anakomaa na manzi ya msela mno na anajua kua ni mchumba wa mtu!?

Je wadada bado mnapinga amjatoka ubavuni mwa wajuba?
Hamjui mnataka nini wanaume wengi na wavulana wenzao wanawazaga u...ch tuu ndomana hata umwambie nna mtu anakutaka bado na ujue atakutumia tuu
 
Back
Top Bottom