Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
Sidhani kama wewe kweli ni Mtumishi wa Mungu...nina mashaka, ingawa ulichokiongea kipo sawa!!
Kujitongosesha??? Mtumishi wa Mungu akitongoza hawezi kusema katongoza, anasema alitongozeshwa, is it? kama kondoo linajileta kwa mchungaji ni ruhusa tosha kwa mchungaji kuila na baadae kujitetea kwamba kondoo ilimshawishi?
Kujitongosesha??? Mtumishi wa Mungu akitongoza hawezi kusema katongoza, anasema alitongozeshwa, is it? kama kondoo linajileta kwa mchungaji ni ruhusa tosha kwa mchungaji kuila na baadae kujitetea kwamba kondoo ilimshawishi?
Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
Kemea kwa nguvu zote shetani atashindwa tu!Utakuta mtu anafahamu fika kuwa wewe umeokoka, tena ni kiongozi wa kanisa, lakini cha ajabu wanawake haohao wanaokujua vyema, na ambao ni walokole wenzako ndio wanakuwa vimbelembele wa kutaka ufanye nao ngono, na ukiwakemea wanakuambia baada ya dhambi hiyo mtatubu.
Wengine wanaenda mbali zaidi, ukiwakataa wanaanza kukusingizia maneno ya uwongo kuwa unawataka.
Ndugu zanguni, kazi ya Mungu ni ngumu sana na shetani anajiinua sana.
Tuwaombee sana watumishi wa Mungu, wanapita mapito magumu sana kiimani
nilijua na wewe ni mmojawao wa watumish wa mungu kumbe unawawakilisha tu? basi waache waje wenyew watuambie kama hawaipendi hii tabia kisha tutaanza maombi.