Hivi kwa nini wanawake wanajitongozesha kwa Watumishi wa Mungu?

You look "gud" in that dress and "hair do" 🙂


nilijua na wewe ni mmojawao wa watumishi wa mungu kumbe unawawakilisha tu? basi waache waje wenyewe watuambie kama hawaipendi hii tabia kisha tutaanza maombi.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nikuambie wewe nawe cjui baba past,watu wanakimbilia mapasta kwa madhumuni yafuatayo;

1. wanahc wachungaj wametulia ambapo si kweli cz ndo haohao tunaokutana nao club wakiwa wamebadili mavazi/tunagongana kwenye milango ya gest huku wameacha wake zao nyumban.
2. Wengine wanaamn watatoka kwa mgongo wa sadaka azipokeazo baba pasta.
kwaio hao wachungaj wenyewe waanze kujiombea na kuacha kutumia jina la mungu vibaya wakat nao ni MIPAPA
 

Inatokea tu muumini kuamini kuwa viongozi wao wa kiroho wako perfect sana,huwa wanaamini kuwa mtumishi yuko mbali na uovu mwingine anaoushuhudia kwa wanaume wasio watumishi wa mungu(though hili nalo ni debate nyingine,like ni mtumishi wa mungu au anajiita mtumishi wa mungu)yale mahubiri na mawaidha ambayo waumini wanasikia kutoka kwa viongozi wao kiimani huwablind snaa kwenye ukwelie kuwa wale nao ni wanadamu kama wao!matokeo yake utakuta mtumishi wa mumgu anu sheikh na wanawake hata 20 na hamjijui,nani kwanza anathubutu kumhisi vibaya mtumishi wa mungu?imagine hata yule mwenye mahusiano nae anaamini hakuna mwingine anayeweza kuwa na mahusiano na mtumishi yule!mbinguni huko tutashangaaana jamani?yani kuna watu hatutaamini kuwa tupo nao sehemu tutakazokuwa tumewekwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…