Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengi wao wanakula nyama sana na asilimia kubwa ya tumbo ni mavi
wanywa bia siku zote ni watu walioridhika na maisha.. wanahela na kazi nzuri , hivyo kitambi hakikwepeki!
Wanywa gongo ni watu maskini na bahiri hivyo kukonda ni kawaida kwao kwani hawali vizuri kama wanywa bia!
Cc: Tusker baridiii

Kumbe kuwa na Kitambi ni dalili kuwa una hela na kazi nzuri? Nilikuwa sijui...!!

Unasema;
"Wanywa gongo ni masikini na ni wabahili"
Sasa masikini atakuwaje bahili wakati hana kitu? Anabania nini?!

wapi ulipo ambiwa maskini ni mtu hasiye na kitu?...maskini ni mtu aliye na kitu hila hakimtoshelezi! We unazani watu wanakunywa gongo kwa kupenda?

mkuu unasema kweli? ngoja walevi waje hapa kina miss chagga na faizy foxxy
ha ha ha hii mada nimeipita nikisema nikafanye kautafiti....miss chagga FaizaFoxy hawa ni walevi wa gongo au chang'aa
bia ni ngano chapati sita kwa chupa moja halafu ile unakunywa umerelax huku unarudhia na nyago za nyama ya mbuzi au kiti cha moto ,... full tabasamu.... wanywa gongo wanakunywa huku wakiwa kma wapo kwenye mbio za mita mia moja hawatuliii kabisa .. halafu kwenye gongo hamna nyama wala kurelax..mkuu unasema kweli? ngoja walevi waje hapa kina miss chagga na faizy foxxy