S simanyane JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 2,245 Reaction score 718 Dec 16, 2015 #41 CleverKING said: Kwani ulitaka kuhamia wapi Mkuu Simanyane? Click to expand... Nilikuwa natafakari kama mzee Wasira ila sikujua niende wapi
CleverKING said: Kwani ulitaka kuhamia wapi Mkuu Simanyane? Click to expand... Nilikuwa natafakari kama mzee Wasira ila sikujua niende wapi
K K 4 LIFE JF-Expert Member Joined Jul 21, 2015 Posts 2,567 Reaction score 416 Dec 16, 2015 Thread starter #42 simanyane said: Nilikuwa natafakari kama mzee Wasira ila sikujua niende wapi Click to expand... mkuu nakuchagulia mji, nenda mara kwa wakurya
simanyane said: Nilikuwa natafakari kama mzee Wasira ila sikujua niende wapi Click to expand... mkuu nakuchagulia mji, nenda mara kwa wakurya
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Dec 17, 2015 #43 Trimmer said: Ha ha haa mtu anakunywa huku anachungulia mgambo kama wanakuja atanenepa saa ngapi..? Click to expand... ha ha ha ha wapo kwenye mbio muda wote hata mpita njia wao wanamwogopa
Trimmer said: Ha ha haa mtu anakunywa huku anachungulia mgambo kama wanakuja atanenepa saa ngapi..? Click to expand... ha ha ha ha wapo kwenye mbio muda wote hata mpita njia wao wanamwogopa
Joyeuse JF-Expert Member Joined Sep 19, 2013 Posts 275 Reaction score 182 Dec 17, 2015 #44 gongo inakausha jamani ohoooooo!!!!!! bia inastawisha ila mwisho wa siku kulewa ndo kule kule. ila walevi wa bia hawishi kujikojolea \
gongo inakausha jamani ohoooooo!!!!!! bia inastawisha ila mwisho wa siku kulewa ndo kule kule. ila walevi wa bia hawishi kujikojolea \