Hivi kwa nini watu wanapenda sana kupiga chabo

SWADO

Member
Joined
Dec 11, 2010
Posts
83
Reaction score
2
Jamani watu wanapenda kupiga chabo, it seems wanafaidi indrectly jamaa mmoja alishawahi kuanguka baada ya kumaliza game sawa na mchezaji mpo hapo? Nauliza tu jamani?
 
R u posting as a result of your own experience?
 
Not realy makindi ni hoja tu nimeleta
 
ukipiga chabo unafurahia tena unaona raha kuliko anayecheza, mfano unapoangalia picha u enjoy the most kuliko wale wahusika wenyewe
 
Imenichukua masaa kazaa kutafaka uelewa wa Saidi Mwema kuhusu kazi ya polisi kwa tukio na nguvu alizotua juzi kupambana na wananchi wa Arusha, hii inaonyesha saidi mwema hajui nini kazi ya polisi na uwepo wake, la lingine wakati huu ambapo tupo katika harakati za kuandika katiba mpya inaonyesha kiasi gani hata hao vijana wa Mwema walivyo na upungufu wa elimu ya uraia, na cha ziada kuona askali wengi hawajui shelia ingawa kazi zao ni zinawaushisha na sheria.
 
ukipiga chabo unafurahia tena unaona raha kuliko anayecheza, mfano unapoangalia picha u enjoy the most kuliko wale wahusika wenyewe




Kakudanganya nani?Utamu wangoma ni uingie ucheze ndugu........na sio ukae pembeni utazame....
 





Mh...!! Mjomba vipi tena?Chabo na Mwema wapi na wapi?
 
Kwa vijana wadogo tunaweza sema wanataka kujua mchezo unavyochezwa lakini kwa wakubwa sielewi wanatafuta nini.
 
Jamaa kapotea njia mwema na huku wapi na wapi jamani embu tumwelewesha anachanganya mambo sasa.
 
Paka mweusi good idea but in a wrong place. peleka panapohusika
 
Sory paka mweui its tibe22 not you. You perfect my friend nimepitiwa kidogo
 
R u posting as a result of your own experience?

unafikiri hata kama kapiga yeye atasema?story nyengine humu,na hata kama zinawahusu wao utasikia rafiki yangu,jirani yangu,mtu hajitii yeye,labda ziwe za nyumba ndogo
 

makangrabasha!!!!1
 
mjomba umestukia unapigwa chapo nini? maana wanasema aisifuye mvua..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…