WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??
Nyamayao tufanye wewe ndio huyo nyumba ndogo utakubali mwanao achukuliwe akiwa na umri mdogo kiasi hicho? Akalelewe na mama mwenye mtoto wake mchanga ? Unless wewe huna kabisa uwezo wa kumlea mwanao
Ndo maaana iwa tunasema nyie wanawake mna roho mbaya sana mna roho za kutu roho za kwa nini...hivi kwa nini jamani utafikiri sio mzazi?Je mama yake angekufa?Huyu mama kafumaniwa jamaa kaamua kuchukua kilicho chake mnataka afanyaje?
inaonesha huyo mchumba au mume wako c mwaminifu, ila kwa kuwa yameshatokea kaen i mzungumze yaishe mtoto hana kosa, kaa nae na umlee kama mwanao ila kwa mashart ya kuwa akiri kutorejea tena makosa, pole kwa mtihan uliokukutawalipokuwa wanakaribia kuoana, mwanamke alimuliza mchumbake(kwa wakati huo) kama ana watoto/mtoto nje ili awe analijua hilo na angependa wamchukue waishi pa1, mwanaume alisema ana 1 wa kiume! wameoana miaka mi4 iliyopita wanaishi na huyo mtoto pa1 na wakwake wa kike, anampenda mtoto wa kiume kama wa kwake wa kumzaa, alianza kuckia tetec kwamba mume wake anatembea na mdada fulani kuulizwa mwanaume kakanusha, akackia mdada mjamzito baadae kajifungua mtoto wa kiume kumbe ni wa mumewe(awali alikana kumtambua huyo binti), jana mwanaume anamwambia kuna mtoto inabidi aje aishi pale coz amekorofishana na huyo mama wa mtoto( amemfumania) sasa anataka amlete hapo waishi pa1 ili aachane kabisa na huyo binti wa nje, mwanamke hajui cha kufanya anasema yeye kwa nini alee tu watoto wa wenzie na usumbufu kila kitu na ka baby bado miezi 4 kaingize 2yrs, aliniomba ushauri na mcmamo wangu cku zote hata kwa mr ni huu:
mie pia naishi na mtoto wa mr niliemkuta nae, but nilishamwambiaga mr, mtoto chini wa huyu wangu wa kumzaa ctampokea nyumbani kwangu umtafutie makazi yake, naishi na huyo niliemkuta coz nilimkuta,so mie nikamwambia hapo cna cha kukushauri mana kwangu icngewezekana kumchukua huyo mtoto.
naomba 2msaidie.
Msome vizuri tena mleta habari Nyamayao....naona huyu baba na hiyo nyumba ndogo wana mgogoro baada ya kufumaniana upo hapo??
inaonesha huyo mchumba au mume wako c mwaminifu, ila kwa kuwa yameshatokea kaen i mzungumze yaishe mtoto hana kosa, kaa nae na umlee kama mwanao ila kwa mashart ya kuwa akiri kutorejea tena makosa, pole kwa mtihan uliokukuta
kumchapa/kumkemea panapostahili ni muhimu aise, ni ngumu jamani kumchukua, na yeye alipanga ajizalie mapema apate kupumzika na uzazi.
ni ngumu sana kumuacha mtoto mdogo kiac hicho, huyo baba aliongea na huyo binti, binti ndio akamtuma baba aje aseme/amweleze wife kama ataafiki bac yeye atamwachia mtoto am2nze, nadhani binti ni yule binti mapepe,anataka a2nziwe yeye atanue ki mpango wake.
kwa nini watoto ambao sio wakuwazaa mnawatriti vibaya kwa nini hii?
Na aende akacheck na DNA kabisa hakawii kuwa kabambikiziwa kama binti mwenyewe mapepe.
Sasa Fidel akikosea asikanywe kama watoto wengine? Haimaanishi ummistreat jamani ni katika kumfundisha maadili mema pale inapobidi kukaripiwa atakaripiwa tu kama wanangu. Tatizo ni kuwa watu wakishajua kuwa si wako basi hata ukimtuma mara moja utaambiwa umemgeuza kijakazi!
kwa nini watoto ambao sio wakuwazaa mnawatriti vibaya kwa nini hii?
The way unavyo mkanya kwa kweli ni hash...hakuna hata chembe ya ubinadamu unamkanya kwa kumnyima chakula???Nyie wanawake acheni roho mbaya hizo ukifanyiwa wewe je?
Inasemakana akina mama ni mabingwa wa kuwabambika watoto wanaume zao.
Mi kuna G/F nimemgharamia kila kitu mpaka kazaa alisema mimba yangu kiumbe kilicho toka mmmh!aibu haoni hata aibu ameniganda tu ooh hela ya matumizi ya mtoto nikiangalia mmmh haina haja hata kupima DNA.
ahahahahahaha....sisi ndo wanaume bwanaaa...WANAUME FAMILY tupo hivyo woote ...mtusamehe bureeeee...mama mie nakushauri wewe pokea mtoto wa mwenzako..au umesahau mtoto wa mwenzako ni wako??....kwani ukimlea unapungukiwa nn?....je ungekuwa huna wako na unaletewa wa wenzako ungefanyaje?....ukipenda boga(mwanaume) penda na ua lake (watoto wa nje)
nimecheka mpaka basi, haaa hujatulia shost.