Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Nyimbo zipi hizo husikilizagi?Tabia za kishoga zile,mi nyimbo za dizaini hyo sisikilizagi
Nyimbo za Kilofa.
Ambazo mwanaume anavaa uhusika wa mwanamke alafu anabembeleza penzi kwa bwanaake.Nyimbo zipi hizo husikilizagi?
Nyimbo gani hizo za kishoga?
Hivi nyimbo za siku hizi wanavaa uhusika upi?Ambazo mwanaume anavaa uhusika wa mwanamke alafu anabembeleza penzi kwa bwanaake.
Ha ha ha ha ha haTabia za kishoga zile,mi nyimbo za dizaini hyo sisikilizagi
Kwa nini mkuu?Nyimbo za Kilofa.
Vuta picha dimpozi kavaa uhusika wa ke itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi wakijararibu kuuvaa u-ke na wanavyopenda kujilamba lamba lips wataweza kukonyezwa,dunia hii star wa kibongo anavaa hereni wengine wametoga hadi pua wakikutana na wenyeji wa Mambasa itakuwa balaa.
Watu watararuama na viwembe mitaani kumgombania mkuu full shingo kugeuzwa...mwanaume anajisifia kuwa na tubonde twa shavu hiyo sio ishara nzuri hata kidogo.Vuta picha dimpozi kavaa uhusika wa ke itakuaje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha haYap kweli..
Mfano kwenye 'Rangi Ya chungwa' jamaa anaimba alafu anajijibu mwenyewe kwa kuvaa uhusika wa mwanamke..
[emoji445][emoji445][emoji444][emoji449]"Pole Kaka Mimi Ni bado msichana,Tena bado Sijamaliza masomo, nifanye nini kukuacha siwezi"..[emoji445][emoji444][emoji448]
Wanaosema ni nyimbo za kishoga nadhani wao ndio MASHOGA..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sipati picha Muumini Mwinjuma angeimba mwenye ile "nalia mgumba sina mwana.... tangu nimeolewa na mume wangu ni mwaka wa tano sasa...." [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Watu watararuama na viwembe mitaani kumgombania mkuu full shingo kugeuzwa...mwanaume anajisifia kuwa na tubonde twa shavu hiyo sio ishara nzuri hata kidogo.