Hivi kwa sera za trump masuala ya green card/visa lottery yataendelea kuwepo?

Hivi kwa sera za trump masuala ya green card/visa lottery yataendelea kuwepo?

Ndio zipo , kama kawaida subiria tu matokeo yako mwezi wa tano kwa amani na matumaini zaidi kwani nafasi nyingi zipo wazi zinahitajika kuzibwa na watu kihalali.
 
Back
Top Bottom