GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unauliza Nyege (Bukoba) Kagera?Kwahiyo simba wamefunga magoli mengi kuliko jumla ya magoli ya azam na yanga
Au Segadance,Unauliza Nyege (Bukoba) Kagera?
We mikia unamuwaza baba yako Yanga tu.Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini
1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9
Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji anayeongoza kwa Kufunga Magoli mengi ni John Boko wa Simba Sports Club mwenye Jumla ya Magoli yake Saba (7) Kibindoni. Na kumbukeni Boko huyu huyu alikuwa Majeruhi na alikaa Benchi kwa muda mrefu, ila Mshambuliaji Tegemeo wa Yanga SC Michael Sarpong amecheza Mechi zote na mpaka leo ana Magoli Matatu ( 3 ) tu.
Ni ajabu kusifiwa kuwa mnauwezo wa kufunga halafu timu ya taifa wakiitwa hawawezi kuonesha huo uwezo wa kufunga zaidi ya kuruka ruka tu. Mr. Ebo anakwambia hizo ni sifa za kijinga.Mpaka sasa Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom imefikia Michezo 11 haya ndiyo Magoli ya Jumla ambayo yamefungwa na Timu Tatu Kubwa hapa nchini
1. Simba imefunga jumla ya Magoli 24
2. Azam imefunga jumla ya Magoli 12
3. Yanga imefunga jumla ya Magoli 9
Na kabla hamjasahau mpaka hivi sasa Mchezaji anayeongoza kwa Kufunga Magoli mengi ni John Boko wa Simba Sports Club mwenye Jumla ya Magoli yake Saba (7) Kibindoni. Na kumbukeni Boko huyu huyu alikuwa Majeruhi na alikaa Benchi kwa muda mrefu, ila Mshambuliaji Tegemeo wa Yanga SC Michael Sarpong amecheza Mechi zote na mpaka leo ana Magoli Matatu ( 3 ) tu.
Wanatisha kama ukoma. Labda FIFA iamue ukifunga goli saba unapata point 6!Wadaawa Fc
Msimu wa Ligi ya VPL wa mwaka 2015 / 2016 Simba na Yanga zilimaliza na Alama sawa ila Yanga ikawa Bingwa kwa Magoli mengi. Mmeshasahau?Wanatisha kama ukoma. Labda FIFA iamue ukifunga goli saba unapata point 6!
Bingwa atapatikane kwa idadi ya magoli sio point maana zimepitwa na wakati
Hapo tu wakati kwanza points zipo sawaMsimu wa Ligi ya VPL wa mwaka 2015 / 2016 Simba na Yanga zilimaliza na Alama sawa ila Yanga ikawa Bingwa kwa Magoli mengi. Mmeshasahau?