Hivi kwa Tanzania kuna sehemu inaongoza kukatika katikaumeme kama mikwambe?

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
7,683
Reaction score
15,128
Habari ndugu zangu,bila shaka wazima.

Niende kwenye bandiko la swali langu, TANESCO hivi mnajua kua mna boa sana? Haiwezekani kwa siku mnakata umeme zaidi ya mara 30 mnataka kuunguza vitu ama vipi?.

Wakuu nilikuja mikwambe Jumanne kuna kaka yangu ana umwa nikawa nimekuja kupoa nae ,ajabu sana umeme unakatika yaani kila saa kama jana usiku ndo ilikua too much wamekata zaidi ya mara 10 na zaidi hapa ninapoandika toka asubuhi washakata zaidi ya mara 5 hii imekua kero sana hata bro anaona kodi ikiisha ahame maana kero kubwa sana.

Hili shirika linaitia aibu ,liseme kama kuna mgao au la.
 
Mikwambe ndo wapi huko Daslam?
 
Upo sahihi kulalamika, tusubiri majibu kutoka kwa wahusika (TANESCO), inawezekana mkongo wa Taifa una hitilafu.
 
Hio sehemu Iko mkoa Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…