Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
- Thread starter
-
- #21
Nashukuru sana mkuuWakili atakuuliza matako ya bibi yako yamefanyaje, je bibi yako hana matako? Je angesema mguu wa bibi yako ungehisi ni tusi pia?
Kuhusu bangi unaweza mshtaki for defamation of character lakini swala la unga una ithibati gani kuwa hakumaanisha unga wa sembe au ngano?
kwa ufupi kama unammudu mrukie vichwa tu umtoe ngeu, mahakamani utaenda poteza muda wako kama wanavyoupoteza muda wa Lissu.
SawaTafuta manati mlenge nayo kichwani mimi nimewahi kufanya hivyo halafu unajikausha usiache kumpa adhabu mpumbavu mvizie hata usiku maeneo ya karibu na kwake
Ni mtu wa karibu yako kabisa?Tatizo namdai Hela yangu almost 150k
HapanaNi mtu wa karibu yako kabisa?