Hivi kwa watakaotuma maombi wizara ya afya kwa njia ya posta hayatapokelewa?

Uangalie hapo kwenye link ya Nacte,ukisha gonga hapo uende kwenye kozi ya Afya Diploma na Certificate u-click kwa Guide Book kila kitu utakuta na masharti yote
LINK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…