Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Mkiachwa mnalia.
Mkivishwa pete mnalia.
Kwenye tendo la ndoa mnalia.
Mwezini mnalia.
Kuzaa mnalia.
Ukipewa zawadi kubwa unalia.
HEBU LEO MTUSAIDIE TATIZO LENU NI NINI HASA TUWATATULIE MOJA KWA MOJA.
Mkivishwa pete mnalia.
Kwenye tendo la ndoa mnalia.
Mwezini mnalia.
Kuzaa mnalia.
Ukipewa zawadi kubwa unalia.
HEBU LEO MTUSAIDIE TATIZO LENU NI NINI HASA TUWATATULIE MOJA KWA MOJA.