huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habarini wanajamvi...
Hivi kwanini kamisheni ya voda inapanda sana mwanzo wa mwezi unapofika katikati speed hupungua?
Wakati miamala ni ile ile?
Nimejiuliza sana hili swali lakin sipati jibu pengine humu ndani mnaweza kunisaidia...
Kuanzia tarehe 1 hadi kwenye trh 15 hiv kamisheni inaongezeka kwa speed kubwa yaaan baada ya hapo kamisheni hu-stuck wakati miamala ni ileile kama ya mwanzo,yaan inaongezeka kwa kiasi kidogo sanaaaaaa....