huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Bila Shaka wewe sio mfatiliaji wamiamala yako kwaukaribu zaidi, unachokifanyia kazi ndio hicho unacholipwa. Labda uongelee swali lawateja wako kuwa kuanzia tarehe hizo upungua ila sio vingine mkuu
Nini maoni yako sasaUsianze kumsingizia mfanyakazi eti anakuibia,kmbuka salio la kamisheni huwezi ukalitoa kabla ya voda hawajakuingizia tarehe 1
Hapa ndo huwa nachoka, unakuta mtu anaacha kazi ya kuajiriwa alafu anaenda kufungua mpesa akisubiri kijicomission kidogo mwisho wa mwezi, ni sawa na kucheza makida makida.Mwaka jana lifanya m-pesa aise hii kazi nikupoteza muda,ilikuwa kama tarehe 1/4. Hadi tarehe 30/4 nikaja kuangalia kamishen elf 40 ndio mshahara,Nilichoka kweli na hapo nina kama miamala 300+,nilifunga siku hiyohiyo nikasubiri tarehe moja wanipe changu nikaachanayo, ushauri usitegemee katika majukumu yako bali ifanye tu kama kivutio cha wateja dukani kwako
Hapa ndo huwa nachoka, unakuta mtu anaacha kazi ya kuajiriwa alafu anaenda kufungua mpesa akisubiri kijicomission kidogo mwisho wa mwezi, ni sawa na kucheza makida makida.
Pole mkuu!Hata kwangu ilikuwa ivo niliacha ajira yangu nikasem ngoja nijaribu na huku kumbe ndio hivyo kabisa