Hivi kwanin wanachoma sindano matakoni ?

inategemea na sindano mfano za kaswende lazima uchomwe matakoni begani zitakuua
 
landa ---- ni nn huenda atuelewe coz sion haja ya kulitofautisha na viungo vngne coz ndo vle2
 
Hirizi ndio kila kitu. Ukijifunga kiunoni ni Raha ile mbaya
 
nafikiri zipo sababu zakitaamu nilishawahi kumpeleka mgonjwa hospital kuchoma sindano za masaa nikaambiwa anatakiwa kuchoma moja mkononi na moja takoni nandio hivyo hadi akamaliza sindano zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…