Hivi kwanini ambao 2002 A'level wenye dv3

Tilalilasema

Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Mimi PCM Ifunda nilipata dv3 15 points enzi hizo nilikosa post,math E,physD,chem S,tulipata mwalimu wa physics term ya pili,sasa hivi nimeomba na vijana tunaonekana sisi hawatuwezi,wao ndio wanafanya second application why not us?
 
Waibukie TCU live uwaelezee kilio chako make serikali ya JK iko mfukoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…