Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,465 Reaction score 7,764 Apr 17, 2025 #1 Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?. Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela. Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit . Ni ujinga sana
Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?. Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela. Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit . Ni ujinga sana
Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,465 Reaction score 7,764 Apr 17, 2025 Thread starter #2 Tuwe. Makini na hawa watu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Apr 17, 2025 #3 Sio wanawake tu, watu wengi tu wanaaamini huu ujinga
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 18, 2025 #4 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Apr 18, 2025 #5 Inashangaza sana
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,104 Reaction score 3,594 Apr 18, 2025 #6 ngoja waje vigagura