Hivi kwanini baadhi ya Watanzania wanataka Diamond aanguke?

Ungewaorodhesha majina hao watu ili tuwajue
 

Bila kupapasa ni kwamba kati ya viumbe vyote alivoviumba mungu inawezekana kuwa binadamu ndo mwenye wivu sana kuliko viumbe vyengine

Pia ukumbuke huwezi kupendwa na wote mfano magu alipata 8milion na lowasa 6milion kwa mfano ujue sio lazma wote wamkubali

Amaa pia naona kwasabu anataka always aonekane yeye tuu na sio wengine mfano ukienda kenya au ulaya utakuta wasanii wengi wanapendana but in Africa is different


So ni hvo kaka aache kupi pritendisha sana as yeye ni Yesu

Mm ni tim tanzania
 

Umesema ukweli mwanakwetu.
Hilo la kupenda mashindano yasiyo na msingi akilirekebisha Diamond atafika mbali sana.
Why make unnecessary enemies ???

Lakini bila hata hivyo watanzania tumekuwa ni watu wenye chuki sana na mafanikio ya ndugu zetu.
Unakumbuka jinsi walivyomtukana Marehemu Kanumba baada ya Big Brother ???
Tena huyo Mange Kimambi ndiyo alikuwa kinara wa kufanya hiyo kampeni ya kumchafua lakini baada ya kufa hiyo Bongo Movies hata haionekani tena kimataifa.

Sisi ni watanzania ni watu wa hovyo sana!
Hatujali wala kuheshimu vyetu kabisa.
 
Roho mbaya, ntimanyongo.

 
Aisee naomba kujua umri wako kabla ya mm kusema chochote maana unaongea km diamond tu ndo anawatu wanaotaka aanguke,unajisau hata wewe wapo wanaotaka uanguke,hata matonya ombaomba anao watu wanaotaka aanguke,
Hili siyo kwa diamond tu,ni kwa kila MTU,ni sirika yetu wanadamu,sikulaumu ya mkini ni nanii
 
Nikikutana na washkaji kutoka West Africa, wengi wa Ghana, Nigeria, Cameroun nk. Nikiwaambia natoka Tanzania lazima waingizie story za Diamond Platnumz. Tena karibu wote, sio Ali Kiba tu, hata Magufuli hawamjui, kwahiyo chuki za wabongo ni bure tu, jamaa ashatoboa.
 

Hehehehe!
Mkuu Mzee Sizonje ni maarufu balaa huko nje!
Huko nje wanahisi hapa Bongo awamu hii ni Maziwa na Asali kumbe ni mego kavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…