Hivi kwanini binadamu tuko hivi.?

Tenda wema uende zako!Hongera Uporoto kwa kua na moyo wa ukarimu na huruma hivyo!!OFF TOPIC:Itabidi nikupaishe aisee..kwa hili unastahili!So we niambie lini tu ntatimiza!
Nimeazimia kuanzia sasa ni kupeleka msaada kwenye vituo vya yatima tu mitaani basi tena. OFF TOPIC: ukianza leo nitafurahi saaana Lizzy.
 
Lol! Ndio techniques zao hizo.
Wengine wapo stand ya mkoa ubungo wanajifanya wametoka sitimbi hawawaoni wenyeji wao.
Hongera uporoto kwa moyo maridadi.

Mkuu safi sana ila c unajuwa wabongo? tenda wema enda zako!
Yaani huyu binti kaniudhi kama nini niliazimia akimalima nimpeleke sehemu ya kazi kwa mama mdogo.
 
Nimeazimia kuanzia sasa ni kupeleka msaada kwenye vituo vya yatima tu mitaani basi tena. OFF TOPIC: ukianza leo nitafurahi saaana Lizzy.

Way to go!!OFF TOPIC:Ngoja nimjulishe baba mchungaji kwanza!
 
msaada ulioutoa ni mzuri sana, ila uliyemsaidia hakutaka msaada wa elimu bali alitaka pesa tu za kujikimu kwa wakati huo wala haangalii kesho( future) itakuwaje, natumaini kama angekuwa na uwezo angekuambia hiyo pesa ya shule usimlipie bali umpe mkononi..we acha tu
Siku ile ya pili niliona cheti chake ni kweli alimaliza form 4 mwaka jana na aliniahidi kunipeleka kwa shangazi yake anaeishinaye nikipata nafasi nikaona inawezekana kumuwahi.
 
Mkuu nawewe una kosa hapo,kwanza ungemchapa nalo kisha Ndio umuulize anahitaji msaada upi ili aache uchangu.mngeelewana
 
Daima Binadamu hana wema na kama ungeweza kumjua anachowaza basi tusingekuwa tunalaumiana kamwe. Ni wazi kuwa Hata ufanyaje Binadamu hutomuweza.
 
Mkuu nawewe una kosa hapo,kwanza ungemchapa nalo kisha Ndio umuulize anahitaji msaada upi ili aache uchangu.mngeelewana
Hapana mkuu mara zingine inabidi utumie huruma sio kupiga mihuri ovyo,binti mdogo anazungumza kiingereza kizuri nikaona anaweza fika mbali uraiani badala ya kuwa chakula cha kina Uporoto na Babukijana.
 
Au ulitoa msaada wa masharti ndio maana ameamua kupotea maana Binadamu

Sijampa masharti yoyote kama ningekuwa na nia hiyo si ningemchakachua usiku ule tulipoonana club ? kwanini nijisumbue kwa yote hayo kama si kumsaidia ?
 
First that was very human of you.:humble:and Mungu atakulipa.Just wait for some time uone maybe anaeza kushow up,and asipotokea,chukulia kama sadaka umetoa..NDO UBINADAMU.BE BLESSED.
 
mwache dunia imfundishe mkataa pema pabaya panamuita utalipwa kwa fadhila uliyotenda wala usilalamike wala hujapungukiwa chochote,huwa tunapoingia huruma na kusaidia wengine sio kila mmoja huelewa umuhimu wa yale unayomtendea lakini muda hutoa majibu ya mambo yote.

usikate tamaa kuendelea kusaidia wengine Mungu akubariki.
 
Aisee pole sna ila niliwahi sikia machangu siku hizi wanatumia mbinu hiyo kuchuna watu!!
 
Mtoto wa kikopo atakuwa ni mtoto wa kikopo siku zote tu hata ukijitahidi kiasi gani. Hongera kwa roho yako nzuri katika kujaribu kumsaidia huyo binti.

First that was very human of you.:humble:and Mungu atakulipa.Just wait for some time uone maybe anaeza kushow up,and asipotokea,chukulia kama sadaka umetoa..NDO UBINADAMU.BE BLESSED.

Aisee pole sna ila niliwahi sikia machangu siku hizi wanatumia mbinu hiyo kuchuna watu!!

Mtoto wa kikopo atakuwa ni mtoto wa kikopo siku zote tu hata ukijitahidi kiasi gani. Hongera kwa roho yako nzuri katika kujaribu kumsaidia huyo binti.

Nitasubiri kwa muda akionekana na kutoa sababu za kueleweka na kuendelea chuo nitamsaidia lakini bila hivyo nami sitoi chochote tena,cha kujifariji ni kuwa hajaonekana tena club ile barman kaniambia,bado sijakata tamaa ya kumbadili.
 
usijali mwana,sir GOD atakupa zaidi ya ulichokua umetoa,lengo zuri sana.mpo wachache dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…