Hivi kwanini binadamu tuko hivi.?

ndugu ubarikiwe kwa upend wako. endelea hivyohivyo usikate tamaa. kwa njia hiyo wengine wamefadhili malaika pasipo kujua . be blessed dear na huyo binti tutamuombea
 
Labda ungemshugulikia kwanza..!
Hapana mkuu binti alionekana soo innocent and bright hakustahili kuwepo pale,mi ni mzoefu wa kumbi za starehe na wazoefu nawafahamu hata kabla sijaongea nao.
 
ndugu ubarikiwe kwa upend wako. endelea hivyohivyo usikate tamaa. kwa njia hiyo wengine wamefadhili malaika pasipo kujua . be blessed dear na huyo binti tutamuombea

Nimeipenda hiyo 'By mimi mwenyewe from observation'
 
Dah,usife moyo!
You have a heart of giving so keep it up,ila na sehemu unazoenda kutafuta watu wa kusaidia duh lazima uokote kunguru kweli
 
Dah,usife moyo!
You have a heart of giving so keep it up,ila na sehemu unazoenda kutafuta watu wa kusaidia duh lazima uokote kunguru kweli

Sio kwamba nilitafuta ilitokea tu 'a spur of the moment thingy'.
 
Hongera sana Uporoto01, lakini je, huo msaada ulitoa kwa moyo mkunjufu au ulitoa baada ya wewe kupewa msaada?

Otherwise, Mungu akubariki sana kwa niaba yake
 
Hongera sana Uporoto01, lakini je, huo msaada ulitoa kwa moyo mkunjufu au ulitoa baada ya wewe kupewa msaada?

Otherwise, Mungu akubariki sana kwa niaba yake
Niliamua kumsaidia tu.
 
I think u were too fast!u should get time to knw here beta!wema wako umekuponza!hakuwa na shida ya xul huyo,she wanted to use u
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…