Hivi kwanini Brown alishika Tama ?

Hivi kwanini Brown alishika Tama ?

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Nakumbuka Kibanga alivyompiga Mkoloni, nakumbuka Anduje alikuwa mfupi, nakumbuka Baba Mmoja alivyorudi toka Safari ya Mbali...., Nakumbuka yule dogo mtesa wanyama alivyonyooshwa na Jogoo, vilevile namkumbuka Kimweri na ndoto zake, nakumbuka yule ndege mzuri mwenye rangi za kupendeza. bila kusahau Mbichi zile alizozikataa Sungura.....

Ila for the life of me.., sikumbuki kabisa kwanini Brown alishika Tama...

Je mnaweza kunikumbusha kwanini Brown alishika Tama ?
 
Back
Top Bottom