Watanzania tunaweza kuwa tume-evolve kupitia maandamano kiasi cha kutoitwa waoga tena, ila kutokujielewa, kukosa maamuzi, shobo, kupenda umbea, na uchawacracy culture vimetumakata sana.
I wish hao so called celebrities wangepoteza followers wakutosha, na hizo likes zinazowafanya waendelee kujiona wa muhimu 🙇🏾