Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ni zaidi ya wiki mwenyekiti wenu Freeman Mbowe ananyea debe huko lupango.
Lakini nyie ambao mpo huru mmeridhika tu na kunung’unika kwenye mitandao.
Kwa nini hamjaingia barabarani kupigania uhuru wa mwenyekiti wenu ambaye mnasema anaonewa?
Makamanda gani mnakuwa wanyonge hivyo?
Mnaogopa nini? Mnamwogopa Bi. Mkubwa kiasi hicho?
Walau jana wale akina mama walienda kujigalagaza mbele ya ubalozi wa Marekani.
Bavicha wako wapi?
Na hao washirika wenu akina Kigogo na Shangazi wako wapi?
Wanaharakati wa kweli huwa hawajifichi nyuma ya mitandao. Bali huingia barabarani na kukinukisha mpaka kieleweke.
Lakini nyie mmekaa mmejificha tu nyuma ya mitandao na kwenye vyombo vya habari vya kimataifa!
Hamjaona jinsi washabiki wa fisadi Jakobo Zuma walivyokinukisha?
CHADEMA mnatia huruma kwa kweli.