Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

You guys are cowards. Period.

You don’t want the smoke.
 
Acha uchochezi. Unataka watu waumizwe bure wakati hakuna cha kufia? Nchi iko huru haki ziko ila wajanja wenye kutafuta kwa migongo ya wengine ndio wanachochea kuvunja sheria na kutumia nguvu. Mambo ya zuma usilinganishe pale ni ukabila tu na kutafuta sababu ya uporaji. Kabila yake zuma wazulu ndio waliyoandamana jimboni kwao kwazulunatal. Ukitaka kulinganisha ni kwamba wachaga au wamachame ndio waandamane moshi na kupora maduka ya nani?
 
Ama unawatafutia uhalali wa ile bambikia,wenyewe wanasema hawadanganyiki Ngabu.
 
Kwani anachokisema Nyani Ngabu ni uingo? Hujasoma zile tweets kule Jamhuri ya Twitter tangu, kabla na baada ya kukamatwa Dj? Hata humu kulikuwa na nyuzi kibao ungejua kesho kinawaka mbaya😁😁😁
 
Ni upumbavu kuwataka Cdm kuvunja sheria ili watawala wapate sababu za kuwaumiza. Hapa ndiyo dunia inaona nani mhalifu .

Wewe unajua wa communist walivyo wabovu katika maswala ya haki za wananchi.
 
Ni upumbavu kuwataka Cdm kuvunja sheria ili watawala wapate sababu za kuwaumiza. Hapa ndiyo dunia inaona nani mhalifu .

Wewe unajua wa communist walivyo wabovu katika maswala ya haki za wananchi.
Kuandamana ni kuvunja sheria gani?
 
Wananchi wameshawapotezea chadema jambo ambalo wao hawajalitambua.
 

Tipping point haijafika bado. Chadema hawana uwezo wa kuingia mtaani kukabiliana na vyombo vya dola. Hata wangekuwa na wanachama milioni 10 katika nchi yenye watu takriban milioni 60 bado hawawezi.

Amandla...
 
CDM ni chama cha kishamba sana kile, if you know what I mean.

Sisi CCM ki ukweli ni wepesi kama pamba (deep inside this very true), kiasi kwamba chadema wakikaza kidogo tu CCM tunaachia hii nchi asubuhi na mapema kabla ya jogoo la alfajiri.

Ishu ni kwamba, hawa jamaa hawana uweledi kabisa katika kufanya mambo yao.

Actually they have and practice the same old methods which we CCM have knew them a very long time ago, and u fortunately the old methods normally yield the same results which are no maajabu at all.

One time (not a very long time), tindo if I can right suggested one of the very mass destruction weapon of dealing with us, but the guys didn't consider.

Ki msingi chadema ni chama chakavu na kisicho na mbinu sahihi za mapigano kwenye uwanja wa siasa.

Acha tuendelee kuwanyoosha one by one.

CCM halla! Halla CCM!
 
Tipping point haijafika bado. Chadema hawana uwezo wa kuingia mtaani kukabiliana na vyombo vya dola. Hata wangekuwa na wanachama milioni 10 katika nchi yenye watu takriban milioni 60 bado hawawezi.

Amandla...
Kwani wanahitaji nini ili waweze kukabiliana na vyombo vya dola?

Unachohitaji ni ujasiri tu. Au unasema kuwa CHADEMA hawana ujasiri?

Mbona huko kwenye nchi huwa tunaona waandamanaji wanazipiga na polisi waliovalia magwanda yao ya ghasia pamoja na ngao na virungu huku waandamanaji wakiwa na fimbo, wengine wanarusha ngumi, mateke, vipepsi, vifuti, na mawe.

Cheki hawa jamaa huko Ufaransa walivyowabananisha polisi….

 
Kuna ujasiri na upumbavu. Hawa wafaransa wanapambana na polisi waliobeba virungu. Unataka Chadema wapambane na polisi waliobeba SMG zenye risasi za moto! Hiyo itakuwa ni madness kuifanya peke yao. Hata hii wanayofanya inahitaji ujasiri mkubwa. Wanastahili kupewa credit kwa hilo.

Amandla...
 
Hmm…haya.
 
Kwani anachokisema Nyani Ngabu ni uingo? Hujasoma zile tweets kule Jamhuri ya Twitter tangu, kabla na baada ya kukamatwa Dj? Hata humu kulikuwa na nyuzi kibao ungejua kesho kinawaka mbaya😁😁😁
Ubambikaji huwa hautabiriki,muda wala saa umepangwa kufanyika.Hadi uwe mshirika.
 
Reactions: BAK
Tuingie mitaani ya nini wakati Mungu yuko nasi,hakuna kazi ilio onekana ngumu kama ya kumuondosha Kibwetere mkuu,lakini Mungu alitufanyia wepesi Kibwetere mkuu leo ni Historia.
Wamebakia wadogo wadogo.
 
Unakosea kulinganisha Mubarak na Tanzania. Kule watu waliandamana Tahrir Square bila kupigwa risasi au kufurushwa na vifaru.

Tokea Lissi apigwe risasi imeonyesha wazi CCM haina haya kuua linapokuja suala la kulinda mamlaka yake. Tokea hapo many opposition leaders waliogopa maana hakukuwahi kuwa na jasiri zaidi ya Lissu!! Kma alikoswa koswa kifo kila mtu alipoa sana.

Ila polisi wasipoingilia maandamano kama tu haya hapa chini mbona watu watajitokeza kwa maelfu. Tatizo ni kwamba hapa mnatukejeli ila tukiitisha maandamano ya amani utaona watakavyojaza Majeshi mtaani!! Sasa kma mnataka kutu prove wrong kwanini msiaachie tu kma ujio wa Lissu

 
You guys are cowards. Period.

You don’t want the smoke.
Nakupa challenge uandike mada ya kushauri non violent movement strategies ambazo wapinzani wanaweza kuwafanya CCM waheshimu haki za wenzao.
Maana wewe unaona wazi kuwa CCM wana Jeshi la Polisi lenye silaha ambazo wako tayari kuzitumia kwa raia wasio na hatia ila CHADEMA wana watu wasio na silaha. Je una mbinu gani za kutumika bila wafuasi wa CHADEMA kulazimika kumwaga damu zao?
 
Waulize tena, hawakuona wafuasi wa Bobi wine huko Uganda? Eti, wanasubiri Mbowe akitoka gerezani mara atakuwa Gandhi!
 
Kuna nyakati damu lazima imwagike ili mabadiliko yatokee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…