Hivi kwanini CHADEMA mpo wanyonge sana?

 
Kuna nyakati damu lazima imwagike ili mabadiliko yatokee!
Dah!, upinzani bado haujawa tayari kumwaga damu za wananchi, ila it seems CCM wako tayari na wamefanya hivyo Zanzibar mwaka 2001 na 2020.
Wewe unafahamu vizuri hata kwenye non-violent movements za blacks kule Marekani enzi za Dr King, Polisi walikuwa wakitumia nguvu lakini very rare kutumia risasi za moto kuwachapa waandamanaji. Lakini hapa bongo ni tofauti, Polisi wako tayari kuzitumia
 
Inashangaza kidogo kuona mtu kama huyo Nyani bado haelewi kwamba CHADEMA wanatumia akili zaidi kwenye mapambano kuliko maguvu; au anajisahaulisha tu, akitamani iwe kama anavyotaka yeye iwe.

CHADEMA wangeendelea kutegemea kutumia nguvu, chama kingekuwa kilishakufa siku nyingi sana.

Nafuu ya CCM na serikali ni kuona CHADEMA wakijiingiza kwenye vurugu wanazohimiza hawa wafuasi wao ili wawamalize haraka na kuondokana na upinzani wa kweli dhidi ya utawala wa CCM.
 
Sababu mama anaupiga mwingi tofauti na walivyotegemea.
 
Wale wanaharakati nguli wa twitter wakikaa mstari wa mbele kudai uhuru na katiba mpya hata mimi nitajitokeza kuandamana.
 
Mbona damu ishamwagika sana Marekani hata kipindi cha civil rights movement…

Hata Dr. King alimwaga damu!!
 
'Tutoke vipi yao' safari hii ilikuwa pumba kuliko......walikosea kila kitu; muda, mahali, mada hata wahusika. Nimemuona heche jana na yule sijui katibu au nani sijui (ana madevu mengi) wanajitutumua 'kwa taaabu na mashaka' kuwa kongamano litafanyika tena kule kule, serikali itake au isitake. Tunasubiri!!
 
Huu sio wakati wa ujima.ikifika muda hata wewe utaunga mkono hoja.misri na Libya ilikua ivi ivi.subiri usiwe na papara
 
Huyu Nyani furaha yake ni kuona wafuasi wa Cdm wakipigwa na hata kuuawa na polisi ili aendeleze kebehi zake.
 
Uchuminwanasilimia nne Bora ubaki Hapo,kikinuka utakuwa asilimia 2
 
Usitumie isolated case kujenga hoja.... Hivi TZ wangeruhusu watu wajae pale mnazi mmoja mpaka waweke kambi siku zote hizo?? Wangerusha risasi kma maji watu waondoke...... It would be more of Tiananmen square massacre!!

Anyway kikubwa polisi waruhusu maandamano ya Amani then urudi hapa kusema kama CHADEMA haina numbers. Btw I hope unakumbuka demos za mwisho zilizopelekea kifo cha Akwilina!!! We had numbers but mwisho wake ulikuwaje??
 
Ukute bado wanajipanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isolated case?

How old were you in 2011?

Violence was widespread. Over 800 died as result of clashes between protesters and security forces.

You must have been in diapers back then 🤣🤣.
 



Sadomasochism at play huh?
 

I guess you don’t know that they’re just a bunch of tough-talking keyboard warriors![emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…