Katika tafiti ndogo nilizofanya maeneo ya Ubungo maeneo ambayo kuna vituo vya tuisheni, kipindi cha likizo ya mwezi wa sita, nimegundua kwanza kuna vibanda vingi sana vya chips maeneo hayo, pili wanaume(mafataki) hawachezi mbali na wanawarubuni wanafunzi hasa waliotoka mikoani kwa kuwanunulia chipsi hafu wanawatumia baadhi ya wanafunzi wa kiume hasa wa hapa Ubungo kuwapata wasichana hao kimapenzi. Wana JF hivi hatuwezi pata suruhisho ya tatizo hili ili tuwaokoe dada zetu?