Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 6,602 Reaction score 10,801 May 19, 2020 #41 siku ukiweza kula chumvi nusu kilo basi itapanda bei kama unga
G Goliati mbishi Senior Member Joined Apr 2, 2020 Posts 127 Reaction score 115 May 19, 2020 #42 Aah Sasa we watu wanasema Bei ya chumvi bidhaa we unaleta habari ya kuzama CHUMVINI ukipata kansa ya Koo usilie
Aah Sasa we watu wanasema Bei ya chumvi bidhaa we unaleta habari ya kuzama CHUMVINI ukipata kansa ya Koo usilie
Smart Guy JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 6,808 Reaction score 6,934 May 22, 2020 #43 Goliati mbishi said: Aah Sasa we watu wanasema Bei ya chumvi bidhaa we unaleta habari ya kuzama CHUMVINI ukipata kansa ya Koo usilie Click to expand... Na mimi sintokua na msaada naye hakika nakwambia
Goliati mbishi said: Aah Sasa we watu wanasema Bei ya chumvi bidhaa we unaleta habari ya kuzama CHUMVINI ukipata kansa ya Koo usilie Click to expand... Na mimi sintokua na msaada naye hakika nakwambia
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,486 Reaction score 51,156 May 22, 2020 #44 No shortage of supply.
msouth23 Member Joined Oct 31, 2015 Posts 80 Reaction score 71 May 22, 2020 #45 Nipo LINDI kwa sasa chumvi kiroba cha 50kg ni Tsh 55,000/= Sent using Jamii Forums mobile app