Hivi kwanini Diamond asitangazwe kama hazina ya taifa?

Diamond anaimba nyimbo za maadhi gani?
nyimbo anazoimba ndizo historia au asili ya mtanzania?



elnino unajua list ya wanamuziki wa Tanzania tangu 1940S AMBAO WAMEISHAWAHI KUTIKISA KITAIFA NA KIMATAIFA TENA WAKIIMBA NYIMBO YENYE ASILI ZA KITANZANIA? unaweza taja wachache?

kuwa Tunu ya taifa kwa mwanamuziki kunaleta picha gani kwa madkatari, mainjinia, viongozi wa nchi n.k?
 
Kama Rais mwenyewe ni msanii kwanini tutangaze msanii mwingine kuwa tunu ya taifa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…