Hivi kwanini driving schools zinafundishia magari ya Mannual Transmission?

Entim

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
4,025
Reaction score
2,261
Wana JF naomba kufahamishwa! Nimekuwa nawaza sasa ivi magarikaribu yote sokoni ni AT, sasa kwanini driving schools zinafundishia MT? na huku mtu ukifuzu unaendesha AT?

 
Magari yenye Manual Transmission bado yako mengi tu mitaani na hata kunakouzwa magari. Ukijifunzia gari ya MT ni rahisi tu kuizoea AT, ambapo ukijifunzia AT inakuwa shughuli mpya kuimudu MT.
 
a real driver kwa mtazamo wangu ni yule aliyejidunza mt....
 
Ukiweza kula ugali bila shaka kunywa uji haitakuwa tatizo...

Haiwezekani ukaweza kuendesha gari ya MT ukashindwa kumudu gari ya AT...
 
Kwa ukweli kumfundisha gari ya AT na akaingia test inabidi awe anaendesha AT tu na Sio vingine kama atahitaji kuendesha manual itabidi afanye test tena ya manual, Lakini kuchukua test ya manual ni mfumo tu ulivyo, ukijua manual utaendesha auto kirahisi
 
Mi nilijifunza Mannual Miaka 15 iliyopita lakin naendesha Automatic miaka sa sana ukinipa Mannual nishasahau.
 
Mi nilijifunza Mannual Miaka 15 iliyopita lakin naendesha Automatic miaka sa sana ukinipa Mannual nishasahau.

Wengi wana tatizo kama lako lkn kwa sababu unakuwa na basic idea, manual itakuzingua muda mchache then unaimudu tu vizur.
ANGALIZO:
Usikae muda mrefu bila kuendesha manual coz practice makes perfect, afu kazi za siku hizi unakabidhiwa gari uendeshe mwenyewe hawakuajirii dereva so kama hujui manual transmission unaweza kosa kazi, one of my frnds kakosa kazi juz kati coz kashindwa kuendesha manual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…