Hivi kwanini Facebook na Instragram kunakuwaga na watu 'waliokata ringi'?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Katika mitandao iliyojaa vilaza Facebook na Instagram ni no 1 kumbe ndiyo maana viongozi wnatumiaga Twitter maana huko ni harakati ila ukitaka umbea wewe jisogeze Instagram na Facebook.

Yaani takuta mtu amepost makalio yake, hujakaa sawa mtu kamuita mwenzie jina baya.

To be honest JamiiForums ndiyo Mtandao no 1 hapa Tz kwakuwa na wasomi wenye kuandika Point.
 
Kuna watu tunapatikana pande zote...



______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Kwa Facebook utawapata waliokata ringi kama na wewe umekata ringi kwa maana wanakuletea zile interests zako.
 
kuna mmoja wao wana mwita superjet asee yule kilaza kama uchiz kaumwa mpakaa milembe imemshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…