Soka letu lina uccm mwingi sana, matokeo yake tunaua vipaji badala ya kuvikuza, siku tukiondoa uccm kwenye soka letu tutafika mbali sana, maana tunavipaji vingi sana.Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa hawa hawa Waganda...
Ni kama naipata vizuri pointi yako.Tatizo kubwa lililopo mkuu ni uwekezaji tu hamna mchawi mwingine zaidi ya huyu!...
Sera ya nchi kwenye michezo ni muhimu sana kwenye kukuza ama kuporomosha Micheal kwa nchi husikaWenzetu Waganda wao wanafundishwa na nani?
Hii ni hata kwenye timu ya taifa.Wachezaji wanaonekana hajafundishwa mbinu za uchezaji: kipiga pasi, kukaba, kulinda na ujanja wa kufungua nafasi...
Mchawi CCM....tu... Viongozi wa soka wana siasa nyingi kuliko mipango.......Hao wa viongozi wa Michezo ndio mizigo tupu...Wenzetu wana mfumo mzuri wa kuandaa wachezaji wa vijana na upatikanaji wa makocha tofauti na sisi kocha anachukuliwa yuko kijiweni
Sio mimi ni ccm, wamefanya kila kitu ni siasa, matokeo yake wanaharibu kila kitu, hivyo mimi nimeongea facts.Mkuu hii mbona umeiweka kisiasa sana.
Yawezekana walimu wao wanamafunzo ya daraja la juu.Wenzetu Waganda wao wanafundishwa na nani?
Ile AFCON nakataa kwakuwa hata match ya kwanza iliyofanyika Uganda hakuna aliyekuwa amefudhu. Kumbuka ile game ya kwanza ilitoka bilabila. Kipindi cha kwanza Waganda walicheza poa but kipindi cha pili Waganda walipotezwa sana na Samatta angeongeza umakini walikuwa wanakufa 2 wale. Match ya pili ilikuwa lazima Uganda afe.Tangu niliposikia tumeingia fainali ya under 17 na Uganda nilijua tuna nafasi ya asilimia 30 tu za kushinda, na kweli tumebamizwa 3 na hii ni baada ya juzi juzi tena kupoteza fainali nyingine kwa hawa hawa Waganda.
Hata ile fainali ya kufuzu Afcon ni wazi tulipewa tu na Uganda kwa ujirani mwema na ukaribu wetu na Mzee Mu 7, na tukashangilia kama mazuzu...walahi kama ile ingekuwa ni mechi ya mmoja lazima ashinde aende tungebamizwa tu.
Lakini, ni vyema tukajifanyia tathimini mapema ili tuboreshe kiwango kwani kipo chini kuweza kukabiliana wenzetu wa afrika kaskazini na magharibi.Lakini si tumefuzu