Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 108 Reaction score 170 Jul 27, 2024 #1 Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe.
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 10,198 Reaction score 35,323 Jul 27, 2024 #2 Evangelist Oscar Maulid said: Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe. Click to expand... Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting.
Evangelist Oscar Maulid said: Hawataki kuolewa na wanaume wasio na pesa nyingi, ila wanataka kaka zao wasio na pesa nyingi waoe. Click to expand... Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jul 27, 2024 #3 Hawaeleweka(gi)
Dr Matola PhD JF-Expert Member Joined Oct 18, 2010 Posts 60,050 Reaction score 104,466 Jul 27, 2024 #4 Covax said: Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting. Click to expand... Am not sure kama Adam alizaa na Lilith. Kama walifanikiwa kuzaa basi kuna kizazi cha tumbo la Lilith na tumbo la Hawa. Ukiwachunguza vizuri wanawake hawafanani ingawa wanaume tunaamini wanawake wote ni sawa. Kuna some missing scripture.
Covax said: Nwanamke iko tatari kuvumilia umasikini wa baba yake ila haiko tatari kuvumilia umasikini wa mwanaume wake, very intresting. Click to expand... Am not sure kama Adam alizaa na Lilith. Kama walifanikiwa kuzaa basi kuna kizazi cha tumbo la Lilith na tumbo la Hawa. Ukiwachunguza vizuri wanawake hawafanani ingawa wanaume tunaamini wanawake wote ni sawa. Kuna some missing scripture.