wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yaani nasemea kwa haya magari yanayofanya shughuli za kubeba mchanga,kokoto,au kifusi kwenye huu mradi wa upanuzi wa badabara kuanzia kimara mwisho kwenda kibaha ukifika maeneo yao yanayopaki kulazwa baada ya kazi utakuta bord imenyanyuliwa juu (kiswahili tunasema imebinua) kama inamwaga mchanga ili ghali hamna kitu ndani na yamepangwa mstari mmoja yote na yakiwa hivyo hivyo bord juu,hivi hii ni sheria ya kampuni au ni mvinu tuu ya madereva wao wamejiwekea yakae hivyo!