Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, hata historia ya nchi yetu utakutwa inaandikwa kwa maslahi hivi ya upande fulani.
Soma nukuu hii na imetokea mwaka huu tu lakini pana kikundi kinataka kutuaminisha kuwa waondo wa mwanzo kufika fainali ya soka hapa Afrika.
"YANGA SIO TIMU YA KWANZA TANZANIA KWENDA FAINALI MICHUANO YA CAF
Ameandika Ahmad Mkunda [emoji3578]
"Nitoe pongezi kwa Yanga kwa kufanikiwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la Shirikisho, kwa hakika mmejiandikia historia mpya wenyewe. Kazi nzuri mmeifanya
Lakini naomba niweke record sawa kuwa Yanga haitakuwa timu ya kwanza kutoka Tanzania kutinga fainali ya makombe yanayoandaliwa na CAF hata ikichukua ubingwa haitokuwa ya kwanza"
Timu ya wanawake ya Fountain Gate School ndio timu ya kwanza kutoka Tanzania kuchukua ubingwa wa michuano ya CAF ikifanya hivyo katika mashindano ya CAF School Competition yaliyofanyika Afrika Kusini [emoji1221] miezi miwili iliyopita na kuvuta mkwanja mrefu zaidi ya million 700".
Tena hawa hawakupewa ndege na serikali.