Hivi kwanini iliitwa Condom?

Hivi kwanini iliitwa Condom?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Ujue hili jina linatisha sana, hata namna ya kununua inakuwa ngumu kidogo, kwanini isingeitwa hata Anti Virus halafu hizi Anti Virus tunazotumia kwenye vifaa vyetu vya kielektroniki ndiyo zingeitwa Condom.

Nasema hivyo kwasababu niliwahi kwenda kwenye duka moja la dawa muhimu nikakuta mrembo mmoja hivi anauza, nikamwambia naomba condom, akaniuliza za aina gani, nikamuuliza wewe unapendekeza za aina gani, alikosa kujiamini baada ya swahi hilo akawa anacheka cheka tu.

Miezi kadhaa baadaye alijikuta akitoa unyumba ila chanzo kikiwa mkasa wa condom.

Itaendelea.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]" yeye anapendekeza za aina gani" mwisho wa kunukuu
 
Mkuu naomba namba yake nikanunue na mimi viagra dukani kwao.
 
Siku hz haya madude siyafagilii kabisa bora niache au nipige puchu

Zaman nilkuwa nainjoy tu nikiwa nazitumia mpaka nikawa naunganisha magoli ila sasa imeshindikana
 
Vijana hawapendi haya madude saa hii, yan watu wanalamba mbususu kama wanakula pweza
 
Ujue hili jina linatisha sana, hata namna ya kununua inakuwa ngumu kidogo, kwanini isingeitwa hata Anti Virus halafu hizi Anti Virus tunazotumia kwenye vifaa vyetu vya kielektroniki ndiyo zingeitwa Condom.

Nasema hivyo kwasababu niliwahi kwenda kwenye duka moja la dawa muhimu nikakuta mrembo mmoja hivi anauza, nikamwambia naomba condom, akaniuliza za aina gani, nikamuuliza wewe unapendekeza za aina gani, alikosa kujiamini baada ya swahi hilo akawa anacheka cheka tu.

Miezi kadhaa baadaye alijikuta akitoa unyumba ila chanzo kikiwa mkasa wa condom.

Itaendelea.
Acha kuharibu.

Unyumba ni kwa wana ndoa. Hiyo mingine ungetumia maneno ya vijana Mbususu, mbunye. Yaani wafanyao zinaa.
 
Back
Top Bottom